Sale!

Uamuzi wa Wanyama

Kwa miaka na mikaka, wanyama katika msitu wa Ngome wameishi kwa amani. Mfalme simba anaandaa karamu ya kusherehekea urafiki baina ya wanyama. Hata hivyo, karamu inakatizwa wanyama wanaposhambuliwa kwa vijiti kutoka angani. Baadhi ya wanyama wanakufa. Wanyama wanaosalia wanalazimika kupambana na adui wasiyemfahumu. Vita vinabadili vipi uhusiano miongoni mwa wanyama?

KShs 340

Category:

About The Author

Hillary Namunyu

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uamuzi wa Wanyama”

Your email address will not be published. Required fields are marked *