Prof. Kithaka Wa Mberia anafundisha Isimu, Kiswahili na Mawasiliano katika Chuo kikuu cha Nairobi. Mbali na kufundisha, anajishughulisha na utunzi wa mashairi na tamthlia na pia uchoraji. Kwa muda mrefu ameshiriki kama mwamuzi katika Tamasha za Muziki za Kenya, Tamasha za Muziki na Utamaduni za Kenya. Yeya ni mwanakamati wa Kamati ya Kitaifa ya Tamasha za Musiki na Utamaduni za Kenaya na vile vile mwnakamati wa kamati Kuu ya Chama cha Waandishi cha Kenya.

Reviews
There are no reviews yet.