Ahmed E. Ndalu na Hamisi Chombo ni wasimulizi mashuhuri na watajika. Wameandika vitabu vingi mno. Na vingine vipo njiani.
Sale!
Pendo la Halineshi
Waswahili husema fani ya ujinga nyingi na elimu ni taa, gizani huzagaa. je, iwapo mtu hajapata elimu ya vitabu wala ya maisha huwa mtu wa sampuli gani? Basi zamani za kale kulikuw na ghulamu jina lake Fikirini. Elimu ya darasani hakuiona wala kuihisi. Alipata mke, Bi Halineshi, ingawa hakujua kumtunza kutokana na ujeuri na kiburi. Alimpa mkewe talaka bila kujua hamadi kibindoni silaha iliy mkinoni. Kwa talaka hiyo Bi. Halineshi alimpata mchumba akamuoa kwani riziki haigombi. Je, Fikirini ataishi maisha gani bila elimu wala mke?
KShs 380

Reviews
There are no reviews yet.