Sale!

Mchezo wa Karata

Utunzi wa mashairi yaliyomo katika Chezo Wa Karata ulianza mwaka wa 1982. Kwa kiwango kikubwa mashairi haya yamehifadhi ujumbe wake wa miaka ya 80. Hata hivyo, kwa muda huo wa kama mwongo mmojo na nusu, yamebadilika sana kwa upande wa lugha na muundo…

KShs 490

Categories: ,

About The Author

Kithaka wa Mberia

Prof. Kithaka Wa Mberia anafundisha Isimu, Kiswahili na Mawasiliano katika Chuo kikuu cha Nairobi. Mbali na kufundisha, anajishughulisha na utunzi wa mashairi na tamthlia na pia uchoraji. Kwa muda mrefu ameshiriki kama mwamuzi katika Tamasha za Muziki za Kenya, Tamasha za Muziki na Utamaduni za Kenya. Yeya ni mwanakamati wa Kamati ya Kitaifa ya Tamasha za Musiki na Utamaduni za Kenaya na vile vile mwnakamati wa kamati Kuu ya Chama cha Waandishi cha Kenya…

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mchezo wa Karata”

Your email address will not be published. Required fields are marked *