Sale!

Ipo Siku

Bila shaka, riwaya hii, ”Ipo Siku” ni aali. Mhusika mkuu, Jabali, anang’ang’ana kujitoa katika mashimo ya ufukara, kutamauka, upumbavu, dharau, kukataliwa kwa posa na mengine mengi ambayo ni kizuizi kikuu kwa maisha ya kila binadamu. Je, atafanikiwa?

KShs 812

Categories: ,

About The Author

Solomon Muya

Solomon Muya ni mwandishi aliyebobea katika utunzi na ulumbi wa Kiswahili. Katika miaka ya shule ya upili, tungo zake za ubunifu ziliwahi kuongoza katika vinyang’anyiro vya Brookside nchini Kenya. mwaka wa 2010, alichaguliwa kuwakilisha wanafunzi katika kongamano la kitaifa kwenye Ukumbi wa Bomas kutokana na ufalsafa wa lugha. Alipokea mafunzo ya uanahabari akiwa Chuo Kikuu katika Kampuni za Royal Media Services na Nation Media Group.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ipo Siku”

Your email address will not be published. Required fields are marked *