Bitugi Matundura ni miongoni mwa waandishi shupavu wanaochangia fasihi mpya ya Kiswahili, hasa kwa watoto. Vitabu vyake vingine ni: Mkasa wa Shujaa Liyogo na Mwepesi wa Kusahau, ambavyo pia vimechapishwa na Phoenix Publishers Ltd.
Sale!
Masagisa Na Zimwi Mbilikimo
Dada zake Masagisa wanamuonea wivu kwa ajili ya pendo kuu la wazazi kwake. Wanaamua kumtesa kwa kumuacha katika msitu wa Mukogodo wenye sifa ya kuwa makazi ya mazimwi. Masagisa atajimudu?
KShs 313

Reviews
There are no reviews yet.