Sale!

Binadamu Alivyoanza Kulima

Binadamu Alivyoanza Kulima ni hadithi inayotueleza mikasa iliyomfanya binadamu aanze kulima. Isome mikasa hii katika hadithi hii yenye mafunzo kemkem.

KShs 370

Category:

About The Author

Jackson Kalindimya

Vitabu vya Sayari vimenuiwa kuwaongeza wanafunzi maarifa ya kusoma na kuilewa lugha ya Kiswahili huku vikiwafanya wajimudu katika kuizungumza lugha hii.

Vimekusudiwa kusomwa na wanafunzi wa darasa la sita, saba na la nane katika shule za msingi za Afika Mashariki. Kwa kuwa hawa ni wanafunzi waliokomaa, lugha katika mafululizo wa vitabu hive imepevishwa il kuwatayarisha katika  mitihani.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Binadamu Alivyoanza Kulima”

Your email address will not be published. Required fields are marked *