Sale!

Kwa Nini Fisi Hucheka

Kwa Nini Fisi Hucheka ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kusisimua zilizonuiwa kusomwa na watoto wa darasa la tatu, la nne na la tano.

KShs 355

Category:

About The Author

Pamela Kola

Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kwa Nini Fisi Hucheka”

Your email address will not be published. Required fields are marked *