Sale!

Adhabu Ya Maisha

Mwaisambe alipata taarifa kwamba katika jimbo lao la Matusitusi kulikiwako na mganga mashuhuri. Mganga huyo aliwatibu watu kwa dawa kienyeji alizokuwa nazo daima. Basi baada ya kusikia habari kumhusu mganga huyo, Mwaisambe aliamua kwenda kumtembelea…

KShs 450

Categories: ,

About The Author

Elishaphan Wachira

Bwana Elishaphan Wachira ni miongoni mwa waandishi wanaochipuka kwa kasi sana. Anajikusuru daima kuandika kwa lugha ya Kiswahili na kukiendeleza. Kwa sasa ni mwalimu wa Kiswahili katika shule ya upili ya Wasichana ya Rarakwa katika Gatuzi la Murang’a. Anajaribu kwa udi na uvumba kukiendeleza Kiswahili kupitia kazi bunilizi. Kwa sasa anamiliki shahada ya ualimu Chuo cha Kenyatta.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Adhabu Ya Maisha”

Your email address will not be published. Required fields are marked *