Peter Juma ni mwandishi anayeotea jamii yenye tabia njema. Hamu hii ndiyo inayomsukuma kuandika hadithi yenye mafunzo kama haya. Pia ameandika hadith ya Wasifu wa Tama na Heri Kujikwaa Mguu
Sale!
Asiyesikia La Mkuu
Johm anajipata matatani kwa kutotilia maanani anayoshauriwa na wavyele wake. Kumbe kila hatia ina madhara yake! Soma hadithi hii ya kuvutia uepukane na majuto.
KShs 273

Reviews
There are no reviews yet.