Sale!

Doa

Doa ni Diwani ya mashairi yalioandikwa na kukaririwa na Bwana Kithaka Wa Mberia. Mashair haya yamesukwa kwa ufundi wa hali ya jua na yamejumuisha mada na maudhui mbalimbali. Kwa wampenzi wa mashairi ya Kiswahili, Diwani hii kama zawadi nadhifu kwao.

KShs 510

Categories: ,

About The Author

Kithaka wa Mberia

Profesa Kithaka wa Mberia anafundisha na kufanya utafiti katika idara ya Isimu na Lugha, Chuo Kikuu cha Nairobi, Nairobi Kenya. Mbali na kufundisha na kufanya utafiti, anajishughulisha na uandishi wa mashairi na tamthilia. Thamthilia yake maarufu iitway ‘Kifo Kisimani’ ilikuwa kitabu cha lazima katika mitihani wa kidato cha nne nchini Kenya kuanzia 2006 hadi 2012. Tamthilia yake nyingine iitwayo ‘Natala’ ilikuwa kitabu cha kutahiniwa katika vyuo wya walimu, pia nchini Kenya, kuanzia 2005 hadi 2016. Mwandishi amewahi kukariri mashairi yake katika maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na Kenya, Tanzania, Iran, Marekani, US Virgin Islands, United Arab Emirates, Upolanzi, Ujerumani na Italia.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Doa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *