Sale!

Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa

Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa ni mkusanyiko wa hadithi fupi. Katika hadithi hizi, tunasimuliwa juu ya asili ya matukio fulani na yale yaliyotendeka kuyafanya yawe yalivyo leo. Kitabu hiki kimenuiwa kusomwa na wanafunzi wa Darasa la Tatu, la Nne na la Tano

KShs 335

Category:

About The Author

Pamela Kola

Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, toka lugha, yalimo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa Watoto watajifunza haya yote.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *