Sale!

Kachuma Na Binadamu Wanyama

Nikki Kachuma na wenzake kutoka Shule ya Toredi wamo safarini kuitembelea Mbuga ya Wanyama ya Nairobi. Hawana habari kuwa kuna zaidi ya wanyama katika buga hii, na kuwa wengine wa binadamu wenye maficho yao hapa ni hatari kuliko wnayama wenyewe…

KShs 475

Category:

About The Author

Patrick Ngugi

Patrick Ngugi ni mwanahabari ambaye amefanya kazi na magazeti mengi yakiwemo Nation na Taifa Leo. Yeye pia ni mwandishi wa hadithi za kubuni aliyekomaa. Kitabu chake kingine ni Kachuma na Polisi Wezi, ambacho pia kimechapishwa na Phoenix Publishers LTD

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kachuma Na Binadamu Wanyama”

Your email address will not be published. Required fields are marked *