Sale!
Mikononi Mwa Nunda
Zipo hadithi za kale, za mnyama aliyeitwa ‘Nunda’ ambayfe anaelezewa kuwa alikuwa mla watu. Watu walizichikulia hadithi hizo kama za mapokea, zisizo na ukweli wowote. Lakini pale ‘Nunda Mla Watu’ alipoibuka jijini Dar es Salam na kuanza kuteketeza maisha ya watu mbalimbali, kila mtu aliingiwa na hofu….
KShs 710

Reviews
There are no reviews yet.