Sale!
Mwangwi Wa Maisha
Mwangwi wa maisha ni diwani ya mashairi iliyoandikwa na malenga chipukizi Bwana Edward Ombui Almaarufu Malenga Mdogo. Mashairi haya yamesukwa kwa ujuzi na ufundin wa hali ya juu yakirejelea bahari tofauti na mbinu mbalimbali za lugha na uandishi .
KShs 700

Reviews
There are no reviews yet.