Sale!
Najiskia Kuua Tena
‘… Inspekta, najisikia kuua tena…’ inadai sauti katika simu ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nuse ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufany ili amtie mwuaji huyu mikononi mwa sheria… hapatikani…
KShs 710

Reviews
There are no reviews yet.