Prof. Kithaka Wa Mberia alizaliwa mwaka wa 1955 katika eneo la Tharaka Mkoani Mashariki nchini Kenya. Alisomea Tharaka kabla ya kujiunga na Shule ya Upili ya Chuka na kisha Shule ya Upili ya Alliance. Mwaka wa 1976, alijiunga na Chuo kikuu cha Nairobi amboko alijipatia shahada za B.A (hons), M.A na PhD. Tangu mwaka wa 1982, Prof. Kithaka wa Mberia amekuwa akifunza na kufanya utafiti katika idara ya Isimu na Lugha, Chuo Kikuu cha Nairobi…
Sale!
Natala
Mchezo wa Natala (Toleo la Kwanza 1997) uliigizwa kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 17 Disemba, 1996, katika Kenya National Theatre, Nairobi. Maigizo yalifunguliwa rasmi na Jaji Joyce Aluoch wa Mahakama Kuu ya Kenya, Nairobi. Wageni wengine mashuhuri waliohudhuria maigizo ya siku ya kwanza walikuwa ni pamoja na Mkuu wa Sheria wa Kenya, Bw. Amos Wako….
KShs 510

Reviews
There are no reviews yet.