Peter Juma, Jacob Mwasio na Darius Mwasio ni wasimulizi wa hadithi wazuri. Wamesimulia hadithi nyingi kama: Heri Kujikwaa Mguu na Asiyesikia la Mkuu. Vitabu hivi vimechapishwa na Phoenix Publishers Ltd.
Sale!
Paka na Panya
Paka na panya walikuwa marafiki. Walifanya kazi yao na kuishi pamoja. Paka alikuwa mkulima hodari. Alinunua shamba kwa mkulima. Alipanda mahindi mengi. Mahindi yalifanya vizuri. Je, ni nani aliharibu mahindi ya paka? Soma ujue urafiki wa paka na panya.
KShs 235

Reviews
There are no reviews yet.