Bi Muthoni Likimani alikuwa katika cha Waalimu cha Kahukia, Wilaya ya Murang’a na baadaye akajiunga na Wizara ya Utangazaji – KBS sasa KBC, kama mtayarishi wa vipindi vya Radio na Runinga kwa akina mama na watoto.
Shangazi Serah, Mariamu na Yusufu, wote wakazi wa Nairobi wanafanya safari ndefu inayowapeleka sehemu mbali mbali za jamhuri ya Kenya. Katika safari hiyo wanakutana na watu wa makabila mbali mbali ya Kenya na kujifunza mengi juu ya maisha na mila zao…
KShs 580
Bi Muthoni Likimani alikuwa katika cha Waalimu cha Kahukia, Wilaya ya Murang’a na baadaye akajiunga na Wizara ya Utangazaji – KBS sasa KBC, kama mtayarishi wa vipindi vya Radio na Runinga kwa akina mama na watoto.
Reviews
There are no reviews yet.