Sale!

Shujaa Wa Muwanza

Tantala anajiunga na shule mpya baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu kutokana na maumivu ya mguu uliokatwa. Japo ana ulemavu, Tantala amekaza nia kudhihirisha ushujaa wa kujidili mambo kwa ufasaha. Ulumbi wake unawafanya wanafunzi kumpendelea aliwakilishe darasa lao katika mashindano ya mijadala. Hata hivyo, Basaka hampi nafasi. Je, atapata nafasi ya kuonyesha umaarufu wake?

KShs 290

Category:

About The Author

Hillary Namunyu

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Shujaa Wa Muwanza”

Your email address will not be published. Required fields are marked *