Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mitindo tofauti ya uandishi iliyotumiwa na pia mengi ya kujifunza. Wanafunzi watafurahia haya yote.
Sale!
Viatu Vya Abu Kasimu
Mara vya Nyota tumeweza kuwaona watu ambao wamebarikiwa kuwa na mali nyingi lakini hawapendi kuitumia mali hiyo aidha kwa manufaa yao wenyewe au ya binadamu wengine. Kitabu hiki kinasimulia yale yaliyompata bahili mmoja kama hawa, anayeitwa Abu Kasimu. Soma juu ya mashaka ya bahili huyu katika Viatu Vya Abu Kasimu
KShs 350

Reviews
There are no reviews yet.